HELIKOPTA YA JESHI NA UTALII
Likizo ya rais na usalama wa taifa SITAKI Rais Jakaya Kikwete aende likizo wakati kuna “suala kubwa linaloshusu usalama wa nchi.” Mkurugen...
SALAAM ZA MWAKA MPYA
Centre for Democratic and Strategic Management (IDEA works through its Five Units, namely: Socio-Political and Economic; Legal and Constitut...
JESHI LAINGIA BIASHARA YA UTALII?
JWTZ NA BIASHARA YA KITALII Na Ndimara Tegambwage SITAKI serikali ikae kimya kuhusu matumizi ya helikopta ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) iliyoa...
MIAKA 46 YA UHURU WA TANGANYIKA
Kilio kwenye sherehe za uhuru SITAKI awepo wa kusema kwamba kwa umri wa miaka 46 ya uhuru wa kisiasa wa Tanganyika, “hakuna kilichofanyika.”...
SIKU YA UKIMWI DUNIANI
Serikali inavyopakata UKIMWI SITAKI wimbo wa UKIMWI. Una beti nyingi zisizokatika. Umetungwa kwa shinikizo. Waumini wa kweli ni wachache. Am...
UJINGA UNAPOKUWA NGOME
Fasheni ya kukiri ujinga Tanzania Na Ndimara Tegambwage KATIKA siasa za Tanzania, kukiri ujinga imekuwa fasheni. Lakini siyo fasheni peke ya...
UHURU WA MAWAZO KATIKA KILA NYANJA
Kisumo asivyopenda uhuru wa kufikiri Na Ndimara Tegambwage SITAKI wanasiasa wachovu wabeze maoni ya baadhi ya wanajamii na kuyaita ya “kito...
MATATIZO YA USAFIRI WA WANAFUNZI TANZANIA
Nauli, wanafunzi na serikali bubu Na Ndimara Tegambwage SITAKI wadau wa usafirishaji abiria Dar es Salaam wafikiri kuwa kila Mtanzania au ki...
MAHAKAMA YA KADHI TANZANIA
Kikwete asikimbie hoja Na Ndimara Tegambwage RAIS Jakaya Kikwete hataki kuhusishwa na kilichomo katika Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapind...
Polisi, vitisho na Bi. Stella wa Msewe
Na Ndimara Tegambwage SITAKI polisi wa Tanzania wasahau kwamba ni kwa matendo yao, au kwa kutotenda kwao, wanaweza kuhatarisha usalama wa ra...
MAJADALA KUHUSU UFISADI
SITAKI Mkapa bado mwanasiasa, ajibu tuhuma SITAKI Benjamin William Mkapa, yule rais mstaafu, aseme asiulizwe juu ya lolote linalohu...
SERIKALI YAPORA KIKONGWE
Mzee Jeremiah ole Leken wa kijiji cha Matevesi, wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ambaye uongozi wa serikali ya kijiji ukishirikiana na ule w...
MJADALA JUU YA RUSHWA NA UFISADI
SITAKI Rais anayebeba wasiobebeka SITAKI Rais Jakaya Kikwete apinde hoja. Sitaki rais awe moto na wakati huohuo awe baridi. Hii...
KUMBUKUMBU YA NYERERE
Zindiko la TANU: Twainingi hakuwezi •Nyerere asimulia imani ya wazee kwa vijana. ‘Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa...
MJADALA JUU YA RUSHWA NA UFISADI
SITAKI Na Ndimara Tegambwage (Kuchapishwa Tanzania Daima 7 Oktoba 2007) Waziri anapokemea mabalozi SITAKI mabalozi wa nchi za nje walioko Ta...
Mjadala juu ya rushwa na ufisadi Tanzania
Kauli za Warioba zimepitwa na wakati (Tanzania Daima 20 Septemba 2007) SITAKI Jaji Josep...