Tunataka kuendelea kulinda uhuru wetu wa mawazo na uhuru wa kujieleza, kwani uhuru huo ni haki yetu. Na uhuru hauna kikomo, wala hakuna wakati tunapoweza kusema uhuru tulionao unatosha. Hapana. Kila hatua inazaa matakwa mapya ya uhuru wa binadamu.

Friday, October 12, 2007

SERIKALI YAPORA KIKONGWEMzee Jeremiah ole Leken wa kijiji cha Matevesi, wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ambaye uongozi wa serikali ya kijiji ukishirikiana na ule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unadaiwa kupora shamba lake la eka 3. Bado mtoto wake anapambana kulirejesha. Mzee Lekeni amepoteza uwezo wa kuona.

No comments: