MUGABE ANATAKA KUFIA IKULU
SITAKI Mugabe anavyoisha kama sabuni Na Ndimara Tegambwage SITAKI Afrika iendelee kukumbatia Robert Mugabe, rais wa sasa wa ...
SERIKALI YAAFIKI KAZI YA FOUNDATION
Kigeugeu cha serikali kuhusu AZAKi Na Ndimara Tegambwage SITAKI serikali ibadili msimamo wake wa kutambua na kuthamini asasi za kiraia nchin...
IGP HAWEZI KUCHUNGUZA SERIKALI
Migomo inasababishwa na serikali, Polisi watachunguzaje mwajiri wao? Na Ndimara Tegambwage SITAKI Inspekta Jenerali wa Polisi, Sai...
SIKU 90 ZA KIFUNGO CHA MwanaHALISI
Nani yuko wapi katika sakata la kufungia gazeti la MwanaHALISI? Labda umo! KITABU KITATOKA HIVI KARIBUNI. Bonyeza mchawi katikati ya picha k...
MAISHA YA WATOTO YANAPOHARIBIWA ASUBUHI
Serikali inayochekea wabakaji Liwale Na Ndimara Tegambwage SITAKI serikali ishindwe kuelewa umuhimu wa haraka wa kupambana na unyama unaofa...
TUMPONGEZE OBAMA LAKINI NI MMAREKANI
Wanaotarajia Obama kuwaokoa Na Ndimara Tegambwage SITAKI Watanzania na Waafrika wakae wakisubiri Barack Obama, rais wa 44 wa...
MAUAJI YA KISHIRIKINA YAUMBUA SERIKALI
Baada ya albino, nani? • Mwito wa elimu, mabadiliko Na Ndimara Tegambwage SIYO siri tena. Katika Tanzania, baadhi ya wananchi wanawinda wana...
SERIKALI YAHAHA KUNYAMAZISHA HakiElimu
SITAKI Waziri anayekemea HakiElimu Na Ndimara Tegambwage SITAKI waziri anayeabudu woga na utii bandia. Sitaki waziri anayeabu...
WALIMU WANAPOFANYWA NDONDOCHA
Amri 10 za CCM kwa walimu? Na Ndimara Tegambwage WIKI iliyopita nilikuwa darasani, katika ukumbi wa Taasisi ya Benki Kuu (BoT)...
WHEN THE PRISONER IMPRISONS THE GUARD
Government Minister banned after banning newspaper In a dramatic turn of events, the minister of information who banned a popu...
TANZANIA GOVERNMENT SILENCES MEDIA BIG GUN
Government bans MwanaHALISI tabloid The Tanzania government has banned MwanaHALISI, a popular weekly tabloid for three months effective toda...
CHAMA TAWALA KINAPOKIRI KUZIDIWA NGUVU TARIME
CCM YATAKA MSAADA WA ASKARI Na Ndimara Tegambwage SITAKI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kibaki katika jimbo la uchaguzi la Tarime waka...
CCM YAENEZA UJINGA TARIME
PIGA NIKUPIGE NYUMBANI KWA WANGWE Na Ndimara Tegambwage MSIMU wa ujinga umewadia. Ujinga huu unaimarishwa na vitisho kwa njia ya kauli na si...
SERIKALI ITABEBA TRL MPAKA LINI?
Mbeleko ya serikali TRL Na Ndimara Tegambwage SITAKI wananchi washindwe kujenga mashaka juu ya uhusiano wa serikali na waendes...
VITISHO KWA UHURU WA HABARI
Chenge anavyotishia waandishi Na Ndimara Tegambwage SITAKI mwanasiasa Andrew Chenge achoke kusemwa. Sitaki achoke kuandikwa. Hii ni kwa sab...