Tunataka kuendelea kulinda uhuru wetu wa mawazo na uhuru wa kujieleza, kwani uhuru huo ni haki yetu. Na uhuru hauna kikomo, wala hakuna wakati tunapoweza kusema uhuru tulionao unatosha. Hapana. Kila hatua inazaa matakwa mapya ya uhuru wa binadamu.

Friday, November 21, 2008

SIKU 90 ZA KIFUNGO CHA MwanaHALISINani yuko wapi katika sakata la kufungia gazeti la MwanaHALISI? Labda umo!

KITABU KITATOKA HIVI KARIBUNI.

Bonyeza mchawi katikati ya picha kupata sura kubwa ya picha

No comments: