Tunataka kuendelea kulinda uhuru wetu wa mawazo na uhuru wa kujieleza, kwani uhuru huo ni haki yetu. Na uhuru hauna kikomo, wala hakuna wakati tunapoweza kusema uhuru tulionao unatosha. Hapana. Kila hatua inazaa matakwa mapya ya uhuru wa binadamu.

Friday, April 23, 2010

Kwa miezi mitatu mfululizo, blogu yangu ilikuwa na matatizo ya kupokea makala na stori zangu. Sijajni nini hasa. Leo imekubali. Kesho naanza kazi ya kupakulia humu. Karibu. Edelea kuwa nami katika kujenga hoja.

ndimara
32 Aprili 2010

2 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Mimi ni mmojawapo wa wasomaji wako makini ambao nilisikitishwa na kupotea kwako. Karibu tena ulingoni!

elvan said...

Mbona hakuna kipya mzee. mimi stambuli- uwazinewspaper