Tunataka kuendelea kulinda uhuru wetu wa mawazo na uhuru wa kujieleza, kwani uhuru huo ni haki yetu. Na uhuru hauna kikomo, wala hakuna wakati tunapoweza kusema uhuru tulionao unatosha. Hapana. Kila hatua inazaa matakwa mapya ya uhuru wa binadamu.

Friday, July 31, 2009

CHAKULA CHENYE LADHA YA KARIBU NA MBINGUNI
Nimewahi kula chakula kilichopikwa na kuandaliwa na walioko kwenye picha hii. Inawezekana hata wewe umewahi kuonja mapishi yao. Bali nina uhakika kuna ambao hawajawahi. Wanaitwa ANITA CATERERS. Wakati ndio huu. Ni rahisi kuwapata: Anita: Simu 0713 505312 na 0783063400 au S.L.P. 71775 Dar es Salaam, Tanzania.

Ofisa mmoja wa ubalozi wa nchi za nje aliyeonja chakula hicho alisema:"Najisikia kuwa Afrika na kuwa nyumbani mbali na nyumbani. Ni chakula ambacho kila mtu angependa kula na kukumbuka utamu wake siku hadi siku...Ni chakula chenye sura ya mataifa yote..."

No comments: