tag:blogger.com,1999:blog-8943712461165130839.post5147077848081535206..comments2023-09-19T01:07:34.015-07:00Comments on Uhuru Hauna Kikomo: Uchumi wa Tanzania utakua lini?ndimara tegambwagehttp://www.blogger.com/profile/05750977914976705256noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8943712461165130839.post-72049870901267574462007-10-01T09:09:00.000-07:002007-10-01T09:09:00.000-07:00Nilikuwa najiuliza maswali mengi sana ambayo hadi ...Nilikuwa najiuliza maswali mengi sana ambayo hadi hivi sasa sijapata majibu yake niliposikia ya kuwa Serikali imeunda tume/kamati kukusanya maoni ya wananchi kuhusu kujiunga na shirikisho la Afrika ya Mashariki. Miongoni mwa maswali hayo ni wananchi wa aina gani ambao kamati iliwahoji na kisha kukusanya maoni yao? Je ni wananchi wangapi wanajua umuhimu wa shirikisho hili? Je serikali ama tume iliwaandaaje wananchi kuhusiana na suala zima kwa ujumla? Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo uchumi wa Tanzania unavyozidi kudidimia! Sasa sijui utakuwa lini na kwa kasi ipi? Na hali halisi kwa hivi sasa ikoje? Najua kuna mseomo wa kwamba, "wengi wape," Lakini hii haimaniishi kwamba wengi daima huwa sahihi, wanaweza kukosea hasa kwa kutokujua kwa maana ya kutokuwa na ufahamu wa kutosha juu ya suala husika. Kwa mtizamo wangu ni kwamba serikali pamoja na maoni ya wananchi lakini ndo ingeweza kucheza kete ya mwisho na kuwaelimisha wananchi ni nini kinachoendelea. Nina imani kabisa wananchi waishio mipakani hasa hususani Kagera, Kigoma, Arusha, Kilimanjaro, n.k. wanafahamu fika umuhimu wa shirikisho hili na huenda wamekwishaonja matunda yake. Kwa kutokuendelea zaidi ninaiomba serikali ilichunguze na kulisoma zaidi suala hili.Chrishttps://www.blogger.com/profile/09850796882708176613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8943712461165130839.post-20587325137746050392007-09-19T16:52:00.000-07:002007-09-19T16:52:00.000-07:00Viongozi walioko jikoni sasa hivi Tanzania wasiwe ...Viongozi walioko jikoni sasa hivi Tanzania wasiwe na wasiwasi sana , kwa sababu bado tunaongea tu: Na kwasababu tuko pamoja nao,wanajua tuna mchezo wa kusahau kirahisi. AU?<BR/>Kikubwa ni kwamba wengine hatuongei tu na tunafuatilia, tafakari hifadhi na jkama hawajastukia tunakuja kubadilisha.<BR/>Kwa sasa hivi Nawaelewa kwanini hawastukii. Hawajastukia leo hii ,Komredi namba mbili wa khmer Rouge wa Cambodia ndio anapelekwa lupango baada ya madhambi watu walionalili mara ya mwisho mwaka 1979?Sisi wa sasa je, tuwanukuluo kwa simu kamera na......Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com